Thursday, August 16, 2012

MKUU WA MKOA WA KAGERA KANALI MSATAAFU MSAWE AWAANDALIA WAISALUAM FUTAL


Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe akiongea na waumini wa dhehebu la kiisilamu aliowaandalia futari kwenye viwanja vya Ikulu ndogo iliyoko katika manispaa ya Bukoba, alikwa akiwaeleza waapuuze waislamu wachache wanaotaka kukwamisha zoezi la sensa ya watu na makazi, alikuwa akiwaambia kuwa mungu ni mmoja.
Baadhi ya viongozi waliongana na mkuu wa mkoa kula futari aliyoiandaa kwa ajili ya waumini wa dini ya kiislamu.
Askofu Buberwa wa kanisa la kiinjiri la kirutheri diosisi ya kaskazini Magharibi alikuwa ni miongoni wmwa wageni walioalikwa kushiriki kwenye futari iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa, kulia kwake ni sheikh Haruna Kichwabuta.
Massawe katikati, kulia kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Philip Kalangi na kushoto afisa wa ofosi ya mkuu wa mkoa, Mrisho.
Waumini wa dini ya Kiislamu na wageni waalikwa wakila futari iliyoandaliwa na Massawe kwenye viwanja vya Ikulu ndogo ya Bukoba.
Baadhi ya wageni walialikwa kula futari.

No comments: