Friday, August 24, 2012

WAKATI WA KAZI NI KAZI TU NA WAKATI WA KUPUMZIKA NA KUJUMUIKA BASI TUWE PAMOJA


Ni baadhi ya wadau wangu mitandao ya kijamii katika mkoa wa kagera mwenye laptop ni Mr.Audax Mtiganzi (www.audax-kagera.com) pamoja na Mr.Antidiu Karunde (www.bukobajamii.blogspot.com)
wakiwa wanajadili mambo mbalimbali likiwemo la sensa ya watu na makazi katika mkoa wa kagera
Eliud
0768078360
0712619204

No comments: