Friday, August 24, 2012

Yanga Kucheza Na Rayon(Rwanda)Leo.

Rais Paul Kagame katika picha ya pamoja na Yanga. (Picha na Saleh Ally wa gazeti la Champion).
Mabingwa wa Kombe la Kagame klabu ya Dar Young Africans leo watashuka dimbani kuivaa Rayon Sports ya Rwanda kwenye Uwanja wa Amaholo jijini Kigali.

No comments: