Wednesday, September 12, 2012

IBADA NA MAZISHI YA MAREHEMU MZEE EVARISTUS KICHEMU YALIOFANYIKA KATIKA MAKABURI YA BUNENA HII LEO



Msafara wa mapambio na nyimbo za dini kuelekea makaburini

 Mamia kwa mamia kwenye mazishi ya marehemu Evaristus Kichemu


Mwili wa marehemu ukiingizwa kenye makazi yake ya milele
Sisi sote tulitoka kwenye udongo na tutarejea kwenye udongo.
Mapadre wakiongoza mazishi.

 Wanafamilia wakiweka mishumaa
 Wajukuu wa Marehemu wakisogea kaburini kwa ajili ya kuweka mashada ya maua
 
 Mkurugenzi mtendaji wa www.fourwaysbukoba.blogspot.com anaungana na wakritu wote kwa pamoja katika majonzi ya kmpoteza mpendwa katika bwana
KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA

No comments: