Wednesday, September 12, 2012

Mwandishi Francis Godwin Atoweka Iringa Akihofia Maisha Yake


Mwandishi Francis Godwin akiwa na marehemu Daudi Mwangosi (katikati) Enzi za uhai wake. Ametoa taarifa fupi kabisa katika blog yake.Haifahamiki na labda ni kwa sababu za kiusalama amekwenda wapi na hakusema ni kwa vipi maisha yake yako shakani.

No comments: