Wednesday, September 5, 2012

KANISA LINALOTARAJIWA KUANZA KUTUMIWA MWAKA HUU MARA BAADA YA UJENZI ULIOCHUKUA MDA WA MIAKA 18


Kanisa la jimbo kuu la Bukoba ambalo mwli wa marehemu Kardinari Laulean Rugambwa utapumzishwa milele 0ct0oba 6, mwaka huu, mwili huo ulikuwa umepumsishwa kwa muda kwenye maeneo ya maziko ya parokia ya Kashozi.

Hali ya kanisa katoriki la jimbo la Bukoba ambalo sasa linafanyiwa ukarabati.
Nikizungumza na baadhi ya viongozi wa kanisa hili wamesema siku ya tarehe 6 mwezi wa kumi wanatarajia kuwa na ugeni mkubwa ambo utakuwa ni wa kihistoria katika jimbo ;la Bukoba.
Wakiongea kwa msisitizo wamesema kuwa wanaomba wanabukoba wote kuchangia kila kiwezekanacho ili kuweza kufikia malengo ya kumaliza kuboresha kanisa hilo.

No comments: