Wednesday, September 5, 2012

MKUTANO WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI YA KUSINI MWA AFRIKA (SADC TROIKA)


Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika (SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea na wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akiongea na wanbahabri mara baada ya kumalizika kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe na kulia ni Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa SADC Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na kati ni  Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao.
Maofisa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikao.
Kuanza kwa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika (SADC TROIKA).
(PICHA NA IKULU)

No comments: