Saturday, September 29, 2012

POLICE MMOJA AKATALIWA KUMPELEKA KIJANA KITUONI



Police mmoja leo katika manispaa ya bukoba maepewa mpya mara baada ya mkamata kijana anayesadikika kuwa hakuwa na hatia.
Wakiwa ni vijana zaidi ya 70 walimkatalia police huyo kwa madai kuwa watu walikuwa na hatia walikuwa pembena sio kijana aliyekamatwa.
hii imetokea mara baada ya kutokea ajari mara baada ya mwendesha pikipiki kumgonga kijana na kukimbia.
Kijana huyo aliyekuwa amewekwa chini ya ulinzi alikuwa ni mtu kaja tu kutoa msaada na sio yeye aliyesababisha ajari hiyo (HII NI KWA MJIBU WA WALIKUWEPO)

No comments: