Tuesday, October 2, 2012

Ujumbe Wa IMF Na Waziri Mgimwa


Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waaandishi wa habari jana jijini Dar es salaam mara baada ya kukutana na ujumbe wa Shirika la Fedha Duniani(IMF)uliopo nchini ili kutathmini hali ya ukuaji wa uchumi ambapo ukuaji wa pato la Taifa kwa 2012 unatarajia kukua kati ya asilimia 6.5 na asilimia 7.0. Ujumbe huo umesema kuwa uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika vizuri . Kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo wa IMF Bw. Paolo Mauro. 

                      Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam

No comments: