Wednesday, October 10, 2012

BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO KUPAMBANA NA NASIBU RAMADHAN DESEMBA 9, 2012


Bondia Francis Miyeyusho (kushoto) akisaini mkataba wa kucheza na bondia Nasibu Ramadhan (wa pili kulia) wanaoshudia kulia ni wakili wa promota, Nyasebwa Berious na promota Mohamed Bawazir.
Bondia Francis Miyeyusho (kushoto) akitunishiana misuli na Nasibu Ramadhan wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika Desemaba 9, 2012.
Promota  wa mchezo wa masumbwi Mohamed Bawazir (katikati) akiwainua mikono juu bondia Francis Miyeyusho (kushoto) na Nasibu Ramadhan wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya Desemba 9, 2012.

No comments: