PICHA za Miss Tabata 2011, Faiza Ally akiwa kitandani na mbaba mtu mzima anayejulikana kwa jina la Kali Shabani zimezua gumzo, habari ni kwa mujibu wa mitandao ya kijamii.
Mbali na picha hizo za kitandani, nyingine zilizoanikwa ni pamoja na zile zinazomuonesha mrembo huyo akiwa nusu utupu, huku alichokuwa akikifanya na Kali kikibaki siri yake.
Kisa cha picha zake kusambaa, mitandao ya kijamii imebainisha kwamba, Kali ndiye aliyefanya mchezo mchafu kwa lengo la kumkomoa msichana huyo kwa kile kinachotajwa ‘bazoka kuishiwa ladha.’ Wawili hawa hawakupatika kuzungumzia picha zao.
No comments:
Post a Comment