Wednesday, October 31, 2012

LIGI KUU VODACOM: YANGA 3 VS MGAMBO JKT, SIMBA 1 VS 1 POLICE MOROGORO.



Kikosi cha Yanga leo kilichocheza na Mgambo JKT

Kikosi cha Mgambo leo

Walioanzia benchi; Kutoka kulia Kevin Yonda, Nizar Khalfan, David Luhende na Jerry Tegete aliyefunga bao la tatu leo

Kocha Mholanzi wa Yanga, Ernie Brandts kulia akiwa na Wasaidizi wake, Freddy Felix Minziro, Mfaume Athumani na Daktari Juma Sufiani

YANGA leo wametinga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Mgambo JKT katika MECHI YA Ligi Kuu Vodacom huku wakiwa na maombi mawili kwamba washinde na ndivyo ilivyokuwa na hatimaye  Mahasimu wao Simba kukwaa droo huko Moro Mchezo uliokuwa ukichezwa kwa nguvu na kasi za hapa na pale. Mchezo uliochezwa ugenini huko Morogoro na Timu ya mkiani Polisi ambao wameweza kuwashika vilivyo na hatimaye kuambulia droo kutoshana nguvu, Yanga wao walikuwa wanawaombea Simba droo au kipigo ili  wakwame ili wao wakae kileleni mwa Ligi kwa mara ya kwanza Msimu huu.


Kwa matokeo haya Young Africans imeshika usukani wa ligi kwa tofauti ya magoli ya kufunga
 
MAGOLI
Mpira umemalizika, Young Africans 3 - 0 Mgambo JKT
Cannavaro dkk 2
Didier dkk 39
Tegete dkk 80

No comments: