Thursday, October 4, 2012

Simba yaendelea kujikita Kilelkeni mwa Ligi yatoka Sare na Yanga 1-1

 
Baadhi ya mashabiki wakiwa tayari ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuangalia mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga muda mfupi ujao.

 Kiungo Machachari wa Timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akijaribu kutaka kumtoka,Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-1 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba. Yanga wanasawazisha kwa njia ya Penati kupitia kwa Mchgezaji Bahanuzi.

 Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Said Bahanuzi akijaribu kutaka kuwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.

No comments: