Friday, October 5, 2012

Vodacom Waendesha Kliniki TANESCO

 Baadhi ya Wafanyakazi wa VodacomTanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kushiriki katika kliniki ya utoaji maoni kuhusu huduma za kampuni yao kwa wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanesco iliyofanyika makao makuu ya shirika hilo Ubungo jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa kampuni ya Mawasiliano ya VodacomTanzania wakiwaelekeza wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanesco jinsi ya kujaza fomu za maoni kuhusu huduma za kampuni hiyo wakati wa kliniki iliyofanyika makao makuu ya shirika hilo Ubungo jijini Dar es Salaam.

.Meneja Ufundi wa kampuni ya Mawasiliano ya VodacomTanzania Simon Martin akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanesco jinsi ya kujaza fomu za maoni kuhusu huduma za kampuni hiyo wakati wa kliniki iliyofanyika makao makuu ya shirika hilo Ubungo jijini Dar es Salaam.

No comments: