Katika
hali ya kuhakikisha hakuna tukio baya na la madhara kwa wanachi na
mashambulizi ya kigaidi ndani ya jengo la mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini dar es Salaam kutokea, Polisi na vyombo vya ulinzi
vimeweka utaratibu wa kuwapekea watu wote wanaoingia mahakamni hapo hasa
siku za kesi tata. Pichani ni hali ilivyokuwa wakati wa kusikilizwa kwa
kesi ya Shekhe Ponda na wenzake leo ambapo Watu waliofika kusikiliza
kesi zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi
Ponda akiwa Mahakamani. Picha zaidi HABARI MSETO BLOG
No comments:
Post a Comment