
Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana leo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC.

Mjumbe wa NEC akipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum linalozungumzia mkutano mkuu wa CCM .

Mh.Muhammed Seif Khatib na Mh. Vuai Ali Vuai ,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wakipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa nane wa CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment