Katika Mkutano Mmoja huko Karatu mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtangaza Dr W P Slaa kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2015 . Mimi Binafsi nashangaa ni Utaratibu gani umetumika kumpitisha Dr Slaa kama mgombea urais wa CHADEMA ,
Najua huwa kuna vikao na michanganuo kadhaa wa kadhaa kwa hapa sijui imekuwaje . Ndugu Tumaini Makene tunaomba utujuze au Mhe Mbowe alikuwa Anapima upepo tu ? Kwa maoni yangu ningependa kumwona Dr Slaa akupumzika amwachie nafasi hiyo mwingine yeye mpaka sasa ameifanyia chadema na taifa hili mengi akiwa mshauri itakuwa hatua nzuri zaidi asiwe kinganganizi kama akikubalia basi apishe utaratibu wa kidemokrasia ufanyike ili kumpata mgombea .
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com gm26may@gmail.com 00:45 (3 hours ago)
to wanabidii Dr Slaa amegombea mara moja tu mnadai anatakiwa apumzike Vipi kuhusu Pr Lipumba aliyegombea mara zote tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mnamshaurije? Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network Emmanuel Muganda 01:43 (2 hours ago) to wanabidii Na wengine tunakushangaa wewe unayeshanga. Dr. Slaa is still the flag bearer for Chadema since 2010. Na kazi aliyoifanya kujenga chama tangu wakati huo matunda yake sote tunayaona. Wewe endelea kushangaa wengine wanaendelea kujenga chama chao. Bado tunamhitaji Slaa katika uongozi wa chama kama vile TANU walivyomhitaji Mwalimu Nyerere mwaka 1959 miaka mitano na baadaye, baada ya kuundwa kwa TANU.
No comments:
Post a Comment