TAMASHA LA USIKU WA MASTAA WA FILAMU DAR LIVE LAACHA HISTORIA
Tamasha la Usiku wa
Mastaa wa Filamu lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa
Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam
limeacha historia baada ya kutawaliwa na burudani za kila aina kutoka
kwa wasanii wa filamu na wale wa Bongo Fleva. Pichani juu ni baadhi ya
matukio yaliyochukua nafasi wakati wa tamasha hilo. (PICHA ZOTE: ERICK
EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL)
No comments:
Post a Comment