Waziri
mstaafu na Mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde akitoka nje ya
ukumbi wa mikutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (alhamisi
januari 24, 2013) ambapo alikutana na wajumbe wa Tume hiyo kutoa maoni
na uzoefu wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya. Anayemwongoza ni
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba na wa kushoto ni Makamu
Mwenyekiti, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.
PICHA NA TUME YA KATIBA
Waziri mstaafu na Mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Ibarahim Kaduma akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba mara mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yake na Tume hiyo leo (alhamisi januari 24, 2013) ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. . Mwingine ni Mjumbe wa Tume hiyo, Dkt. Salim Ahmed Salim.
No comments:
Post a Comment