Monday, January 14, 2013

MNYAUKO KUSABABISHA KUTOWEKA KWA ZAO LA NDIZI MKOANI KAGEARA









Jinsi ambavyo ugonjwa ya migomba mnyauko bacteri ulivyoathiri wakulima wilayani Muleba hii ni sehemu ndogo ya migomba ambayo tayari imeshambuliwa na ugonjwa huo, athari zake zimekuwa kubwa miongoni mwa wakulima wa zao hilo.



Kwa takribanimiaka 3 sasa tangu mkoa wa kagerauanze kuvamia na ugonjwa wa mnyauko ambao umekuwa ukiondoa mgomba mmoja baada yamwinginena hatimaye kusababisha kupotea kwa migomba katika mashamba ya wanakagera.
Wanakagera wameomba sana msahada wa serikali kuwa kama kuna uwezekano wa wa kupata dawa ya kutokomeza ugonjwa huo basi wasaidiwe ili wasije kufa kwa njaa.
Ndizi ni zao ambalo kwa mda mrefu sana wanakagera wamelitumia kama zao la chakula na kuwafanya wakidhi haja zao.
MUNGU IBARIKI KAGERA NA ITAZAME KWA JICHO LA HURUMA

No comments: