Mwanamke huyo JANE EMMANUEL, aliyekuwa na umri wa miaka 26, amefariki
dunia jana baada ya gari la kubebea miwa kiwandani hapo kurudi nyuma
ghafla na kumkanyaga, ambapo amepasuka kichwa na tumbo ambalo hatahivyo
alikuwa na ujauzito wa mtoto wa kike baada ya tumbo kupasuka na mtoto
kutoka nje.
Mwanamke huyo amezikwa jana hiyo hiyo kijijini kwao Maruku Bukoba,
kwasababu ya mwili wake kuharibika vibaya na kichanga kimezikwa katika
kaburi la peke yake.
Mwanadada huyo ambaye awali alikuwa akiishi mjini Bukoba, alikuwa
anafanya kazi katika kiwanda cha sukari mkoani Kagera katika wilaya ya
Misenyi ambapo kwa taarifa zilizopo, alikuwa akifanya mahesabu ya mzigo
unaopakiwa kwenye magari hayo, ambapo hadi kifo kinamkuta alikuwa
akichkuwa rekodi ya kiasi kilichopakiwa.
Picha chini ni kichanga alichokuwa nacho tumboni JANE EMMANUEL, A.K.A FIRST kwa jina tulilokuwa tukimuita.
Mungu ailaze mahala panapostahili JAH RASTER FARIE.
No comments:
Post a Comment