MPOKI ALA BATA BUKOBA
Meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera, William Rutta
akiwa na Ben Katarugwa katikati na Basibila (kulia), wakiwa kwenye
viwanja vya Bukoba Club.
Kampuni ya kiroyera inakutakia safari njema ndani ya ziwa Victoria.
Msanii Mpoki, akiwa na wadau wa mkoa wa Kagera.
No comments:
Post a Comment