Kim alisema Uganda ndiyo inayoongoza
kwa ubora wa viwango vya FIFA katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na
Kati, hivyo ni changamoto kwao ingawa wachezaji wake tayari wamejipanga
vizuri kwa ajili ya mechi hiyo.
Naye Micho aliyefuatana na nahodha wake Hassan Wasswa alisema Taifa Stars imekuwa ikifanya vizuri tangu iwe chini ya Kim, na itakuwa na wachezaji tisa wa kikosi cha kwanza kinachocheza mechi za mchujo za Kombe la Dunia wakati kwa upande wake atakuwa na wachezaji wawili tu. Chanzo: Boniface Wambura

No comments:
Post a Comment