Kwa
mujibu wa mwanasaikolojia mashuhuri nchini Ireland, watu wanaoamini dini kwenye
nchi nyingi zilizoendelea watakuwa wachache mno ifikapo mwaka 2041.
Utafiti
kuhusu imani ya watu wanaoishi katika nchini 137 ambao umetengeneza kitabu
chake kipya, umegundua kuwa upagani unazidi kuongezeka zaidi kwenye nchi
zilizoendelea kutokana na utajiri.
Utafiti
huo umeelezea pia imani maarufu kuwa watu wenye dini watawatawala wapagani
kwakuwa wao (watu wa dini) huzaa watoto wengi.
Dr
Nigel Barber amekiita kitabu chake, ‘Why atheism will replace religion,’
(Kwanini upagani utachukua nafasi ya dini).
Amesema
wapagani wengi wapo kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi na dini itapungua kwa
watu kutokana na kuongezeka kwa utajiri wa mtu mmoja mmoja.
Kitabu
hicho kinaandika kuwa watu hawatategemea tena nguvu za miungu kwakuwa mali
walizonazo zinamaliza shida zao zote.Mwandishi huyo anadai kuwa dini inapungua
si tu kwasababu watu wanakuwa matajiri bali pia ni kutokana na kuongezeka kwa
ubora wa maisha, kupungua kwa magonjwa hatari, elimu nzuri na ustawi mzuri wa
maisha.
Anaamini
kuwa hakuna haja kubwa ya dini kwenye jamii kama za Japan na Sweden ambako watu
wa kawaida tu wameridhika na watu wengi wana mali. Dr Barber amesema dini
ilizalishwa na mababu zetu ambao walikumbwa na changamoto nyingi katika maisha
yao.
Maelezo
kwenye kitabu hicho yanasema:
‘Dini
ilizaliwa kuwasaidia mababu zetu kukabiliana na woga na wasiwasi.Imani kuhusu
Mungu inapungua pale ambapo watu wa kawaida wanafurahia maisha, wana usalama
katika afya na mambo yao ya fedha. Hata Facebook inaiua dini sababu inatoa
majibu ya woga wa dunia ambao dini haina majibu yake.’
Takwimu
ya watu wasiomani uwepo wa Mungu duniani kwa mujibu wa Psychology Today
There
is almost no Atheism in Sub-Saharan Africa
But
there are more atheists in Europe:
64%
of people are non-believers in Sweden
48%
of individuals are atheist in Denmark
44%
of French citizens do not subscribe to a religion
42%
of Germans do not believe in a god.
No comments:
Post a Comment