MH.FABIAN MASAWE;Azindua harambee ya kutunisha mfuko wa maandalizi ya mkutano mkuu wa UKUTA utakaofanyika kitaifa mkoani Kagera.
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe, akitoa hotuba ya
ufunguzi wa harambee ya kutunisha mfuko wa maandalizi ya mkutano mkuu wa
UKUTA itakayofanyika kitaifa mkoani Kagera, Massawe ndiye aliyeongoza
harambee hiyo ambapo jumla ya shilingi milioni 1.2 zilichangwa
papo kwa papo na ahadi zilizotolewa ni zaidi ya shilingi milioni 12..
Waalikwa mbalimbali walioudhuria harambee iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu , Massawe.
Malengo makuu ni kutunisha mfuko wa UKUTA itakayofanyika kitaifa katika Mkoa wa Kagera.
Pia wewe kama mwanakagera unaweza kuchangiaanga kwa kupitia kwa namba ya Account zitakazotangazwa hapo baadae.
Asante
No comments:
Post a Comment