Sunday, April 22, 2012

DAH!!!!!! BASCA NAO

BAADA YA REAL MADRID KUINYOA BARCA WAHITAJI KUSHINDA MECHI MOJA TU KUJICHUKULIA UBINGWA.

Real Madrid wapo karibu mno na ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga wakihitaji kushinda mechi moja tu zaidi ili kujihakikishia taji hilo. 
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2012/04/21/article-2133240-12B47A4A000005DC-240_634x415.jpg
Hiyo inafuatia ushindi wa mabao 2-1 leo kwenye Uwanja wa Camo Nou katika mchezo wa marudiano wa La Liga.
Zikiwa zimebaki mechi nne ligi hiyo kuisha, Real sasa wanaizidi pointi saba Barca. 
                                                                           Ushindi wanukia wa Real Madrid
Vijana wa Jose Mourinho walipania haswa leo na hawakuwa wenye kutaka mzaha hata kidogo, kwani iliwachukua dakika 17 tu kupata bao la kwanza, mfungaji S. Khedira.
Barca walirudi kwenye vyumba vya kupumzikia mbele ya maelfu ya mashabiki wao wakiwa vichwa chini kutokana na kuwa nyuma kwa bao hilo. 
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2012/04/21/article-0-12B445DA000005DC-356_634x391.jpg
Kipindi cha pili Barca walilazimika kusubiri hadi dakika ya 70, kupata bao la kusawazisha, mfungaji Sanchez.
Wakati wengi wakiamini historia ya Barca kutoka nyuma mbele ya Real na kushinda itaendelea, mwanasoka bora wa zamani wa dunia, Mreno Cristiano Ronaldo alibatilisha imani hiyo. 
                   MSIMAMO WA LA LIGA 2011-12
 TIMUGPWDLPtsGFGAGD
 Real Madrid332742851072978
 Barcelona33256281962472
 Valencia33141095250428
 Málaga33156125149463
 Levante33146134847461
 Osasuna3311139463753-16
 Athletic Bilbao331112104548444
 Atlético Madrid33129124544413
 Sevilla33129124540382
 Espanyol Barcelona33129124543430
 Getafe3312912453844-6
 Mallorca34111013433641-5
 Real Betis3312615424045-5
 Rayo Vallecano3412418405060-10
 Real Sociedad3310914394049-9
 Villarreal3381213363447-13
 Granada3310617363049-19
 Zaragoza348719312960-31
 Sporting de Gijón348719313564-29
 Racing Santander3341415262452-28www.fourwaysbukoba.blogspot.com

No comments: