Sunday, April 22, 2012

SHUGHULI ZA MAZIKO YA WAKILI THEONEST RUTASHOBORWA MKOANI KAGERA

Picha ya marehemu Theonest Rutashoborwa, ukiwa mbele ya Jeneza lenye mwili wake wakati wa shughuli za maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Bukabuye Mkoani Kagera jumatano ya wiki iliyopita. Theonest alikuwa ni Mjumbe wa Kamati tendaji ya Klabu ya Yanga.

No comments: