Wednesday, April 11, 2012

HADHA YA USAFIRI


Haya ni madumu ya mafuta yaliyokuwa yamepakiwa ndani ya gari dogo lililokuwa limebeba zaidi ya abiria 15.

Gari dogo likiwa limepakia abiria zaidi ya 15 na madumu ya mafuta lilikutwa eneo la Maiga, lilikuwa limekamatwa na askari wa kikosi cha usalama barabarani aliyejitambulisha kwa jina la Pc Alex.
Chanzo na audax-kagera.com

No comments: