Wednesday, April 11, 2012

WIZI WA MISALABA MOROGORO

KAMANDA wa polisi mkoa wa Morogoro Adolhina Chialo akiangalia misalaba iliyoibwa katika makaburi ya Kola na mkazi wa Mjimpya Shaaban Matimbwili(25) kwa ajili ya kuuzwa kama Vyuma chakavu (na Merina Robert)



KAMANDA wa polisi mkoa wa Morogoro Adolphina Chialo akiwa ameshikilia moja ya misalaba iliyokamatwa kwa mkazi wa Mjimpya manispaa ya Morogoro Shaaban Matimbwili ambayo alitaka kuiuza kama Vyuma chakavu inayodaiwa kuibwa katika makaburi ya Kola mjini hapa(Na Merina Robert)

No comments: