Wednesday, April 11, 2012

WAZIRI MKUU KATIKA VIWANJA VYA BUNGE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Ismani, William Lukuvi (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, Gerge Simbachawene (kulia), Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai (wapili kulia) na Mbunge wa Chilonwa, Hezekiah Chibulunje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi, Isaac Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: