Wednesday, April 11, 2012

TOHARA NDANI YA MKOA WA KAGERA



Baadhi ya vijana na watu wazima waliojitokeza kufanyiwa tohara kwenye hospitali ya mkoa wa Kagera.

Posted on:05 Apr 2012

Mkuu wa mkoa kagera Fabian Massawe akiwahutubia watumishi wa hospitali ya mkoa alipokutana nao, alikuwa akiwaelezea wafanye kazi kwa bidii ili waweze kupata mafanikio kutokana na kazi yao.



Baadhi ya viongozi wa hospitali ya mkoa wakifurahia jambo wakati mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe alipokuwa akiwahutubia watumishi wa hospitali ya mkoa wa Kagera.


Baadhi ya wakazi wa manispaa ya Bukoba waliojitokeza kufanyiwa tohara, baadhi ya watu wazima walikuwa wamesindikizwa na wenzi wao huku baadhi ya watoto wakiwa wamesindikizwa na wazazi wao, walikuwa kwenye hospitali ya mkoa wa Kagera.
Chanzo na audax-kagera.com

No comments: