Wednesday, April 18, 2012

KWENU NI KWENU TU!

Jamani ni wenyej wa Bukoba ila wanaishi mbali na bukoba hapa wamekuja kuwajulia wazazi,majirani na jamaa khali
 
Ni mwanakijiji akiwa anawapongeza wegenyi kwa kuwa namoyo wa kukumbuka home
 
Wote kwa pamoja washangilia
Bw.Augustino akiwa na mkewake mara baada ya kuteguka mguu katika mazingira ya home(furaha tu)
 
Bw.Ladislau akiwa na mama yake pamoja na mkwe wao
Baba mzazi wa Bw.Ladiclaus akiwa na wanafamilia
 
Ladislaus akiwana marafiki zake pamoja na baba

No comments: