Wednesday, April 18, 2012

NJE YA BUNGE LEO

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu  Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki ,  Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Busega, Dr.Titus Kamani akisalimiana na madaktari wanafunzi wa Chuo cha Bugando,  Mwanza ambao Aprili 18, 2012 walitembelea Bunge Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Busega, Dr. Titus Kamani (mwenye kaunda suti katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maktari wanafunzi kutoka chuo cha Bugando, Mwanza ambao walitembelea Bunge Aprili 18, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: