Tuesday, April 17, 2012

Wizara ya Nishati na Madini yafanya Kikao cha Kazi na Wakaguzi wa Migodi


Kamishna Msaidizi wa Madini kutoka Kanda ya Kusini Bw. Aloyce Tesha akiwasilisha mada kwenye kikao cha kazi cha wakaguzi wa migodi  wa Wizara ya Nishati na Madini kilichoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Kanda kilichofanyika mjini Morogoro mapema jana.
Mkaguzi Mkuu wa Migodi, Mhandisi Edwin Ngonyani kutoka Wizara ya Nishati na Madini ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho akifuatilia mada iliyokuwa inawasilishwa na Kamishna Msaidizi wa Kanda ya Kusini Bw. Aloyce Tesha (hayupo pichani) wakati wa kikao hicho.
Washiriki wa kikao hicho wakimsikiliza mtoa mada anayeonekana kwa mbali
Sekretarieti iliyoandaa kikao hicho ikiendelea kufuatilia kwa makini mada zinazotolewa na kunukuu mambo muhimu.
Mhandisi Joseph Kumburu kutoka Idara ya Madini akichangia mada katika kikao hicho kinachoendelea mjini Morogoro

No comments: