Saturday, May 26, 2012

AJIRA KWA VIJANA INAWEZEKANA WAKIJIONGEZA

Nikiwa katika miangaiko ya hapa na pale ndani ya Manispaa ya Bukoba nimebahatika kuonana na kijana mdogo anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka kati ya 27-29 yeye ofisi yake ni ndogo
kijana mwenyewe ndo huyu anaitwa Mark hapa yupo ofisini kwake tayari kwa kuanza kazi ya uzalishaji wa bidhaa yake inayoitwa" popoo"



Bwana Marck akiwa katika uzalisha
Ni baadhi ya vifaa anayotumia katika kuzalisha na kutengeneza bidhaa yenye ubora zaidi
Moja ya popoo iliyokwisha kamilika tayari kwa kutumia  na kwa kuepuka uharibifu wa mazingira basi bidhaa yake yote inafungwa kwenye magazeti sio mifuko ya plastiki
Akiwa kazini anadai uwa anapenda kusikiliza radio  ambayo imeweka moja kwa moja ndani ya kibanda chake cha biashara
Ni njia anayoitumia kuingiza kipato na kutunza familia yake pia na kuwasomesha wadogo zake
Ushauri kwa vijana wenzake:Kuna biashara ambayo haitumii mtaji mwingi na faida yake ni kubwa tena biashara hisiyo alamu walio wengi uwa wanadharu sana biashara yangu ila mimi ndo najua jinsi ninanyopata faida na niko tayari kuwafundisha vijana wengine nao ili waweze kujiajili sio kujiingiza kwenye makundi na kufanya mambo yasiyokubalika katika jamii.

No comments: