Beatrice Stefano Mpangala, 23, mtanzania aliyekuwa akisomea masomo ya Upishi katika chuo cha Elimu ya Juu cha katika Aabenraa nchini Denmark amefaulu vyema masomo yake na kutunukiwa Medali ya Shaba
Beatrice ambaye ni Binti wa Sophia Mpangala wa Kibaha Mail Moja mkoani Pwani.
Beatrice ni chef mwanafunzi katika Hoteli ya Vojens ya nchini humo na alimaliza mazoezi yake kwa vitendo Hotelini hapo na kutunukiwa Medali hiyo kwa kufanya vyema katika masomo yake.
“ Kwa hiyo mimi niko tayari kwa changamoto mpya nitakazo kabiliana nazo katika miji mikubwa”, anasema Beatrice, ambaye ubunifu wake katika mapichi umempa tuzo hiyo.
Nae Niels Laursen, ambaye ni Ofisa katika katika Hoteli Vojens alikofanya mafunzo hayo anasema amejisikia fahari sana kwa mtanzania huyo mwenye vipaji lukuki vya upishi na anapasha kuwa ni mara ya kwanza kwa mwanafunzi aliyepita hapo kufanya vyema na kutwaa medali ya Shaba.
Beatrice akiwa na Niels Laursen
Beatrice Stefano Mpangala, 23 år, bestod svendeprøven som kok på Fagskolen i Aabenraa. Beatrice fik bronzemedalje. Beatrice er kokkeelev på Hotel Vojens. Beatrice afslutter lærlingetiden den 30. november på Hotel Vojens.
- Så er jeg klar til nye udfordringer gerne i en større by, siger Beatrice, der går ind for kreativ madlavning.
Niels Laursen, vært på Hotel Vojens er naturligvis stolt at sin dygtige kokkeelev og fortæller at det er første gang, at en af hans elever er blevet belønnet med en bronzemedalje.GONGA HAPA kusoma zaidi BITE
No comments:
Post a Comment