Thursday, May 10, 2012

BUKOBA NA SENENE

Ndani ya magunia sio mchanga, sukari au mchele ni senene.


Hawa ndio senene wanaopatikana kwa sasa mkoani Kagera.

Hapa inaonyesha jinsi gani watu wanavyobadili matumizi ya vyandarua badala ya kutumia vyandarua kuzuia mbu wanavitumia kwa matumizi ya kuhifadhi senene.
Umati wa watu wakinunua senene kwenye nje soko kuu la bukoba.
Wachuuzi wa senene wakiuza waliokutwa nje ya soko kuu la Bukoba.
 
 
 
 

No comments: