Warembo 12 wanatarajiwa kupanda jukwaani kuwania taji hilo, ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa mashindano ya urembo kujua nani atafanikiwa kuondoka nalo.
Kwa mujibu wa Mratibu wa mashindano hayo, Jamal Kalumuna (jamco) kinyang'anyiro hicho kinatarajiwa kuanza saa 2 usiku, ambapo kutakuwa na burudani za kukata na shoka kutoka kwa dada zetu Uganda (Obbssession) na wasanii wengine
“Kila kitu kimekamilika, kwa sasa tunachosubiri ni kupata mshindi tu,” alisema Jamal.

Warembo watarajiwa wakiwa katika maonesho ya jinsi walivyojipanga kwa zoezi la kushindwa au kushinda
Shindano la kumtafuta Miss Redd's Kagera 201 limemalizika na Miss Baby Love Kalaa(katikati)kuibuka mshindi
No comments:
Post a Comment