Friday, May 25, 2012

HALI WANAYOKUMBANA NAO WAKINA MAMA WAWAPO KLINIKI








Kuna kila sababu ya kuwasaidia na kuwaonea huruma kwani kwa jinsi wanavyokuwa waangaika katika kupata huduma ni hali ngumu san kwanza katika zahanati hazitoshi hivyo kupelekea msongamano mkubwa ambao uaweza kuatarisha maisha ya mama na mtoto hasa kwa kuambukizwa maladhi mbalimbali.

No comments: