MAFURIKO DAR YALETA ATHARI KUBWA

Mvua zilizoanza nyesha alfajiri ya jana na kuamkia leo zimeleta athari kubwa kwa wakazi wa dar ikiwemo watu 13 kupoteza maisha na baadhi ya watu kuhama makazi yao na pia kusababisha foleni kubwa kwa wakazi wa dar na kuharibu barabara kadhaa

Wakazi wa Ukonga Mombasa, Dar es Salaam, wakianika makochi yaliyolowana na maji ya mvua yaliyoingia ndani ya nyumba za wakazi wa eneo hilo kufuatia mafuriki yaliyosababishwa na mvua hiyo jana.
Vyombo mbalimbali vilivyokoswakoswa kusombwa na mafuriko vikiwa vimetolewa nje katika nyumba ya Julius Joseph eneo hilo la Mombasa.
Magari yakipita kwa taabu kwenye madimbwi katika Barabara ya Mombasa- Moshi Baa ambayo imeharibiwa na mafuriko hayo.

hapa ni maeneo ya kati ya Tabata na Buguruni, kama picha hii inavyoonyesha nyumba zikiwa zimefunikwa na kuelea majini leo hii.

Eneo la Tabata unapopita Mto Msimbazi likiwa limejaa maji na kufunika baadhi ya nyumba za maeneo hayo leo.

Haya ni maeneo ya Vingunguti kuelekea Tabata, eneo la Viwanda.

Picha za Moja kwa moja kutoka Eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuzingirwa na maji/Mafuriko kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam Muda Huu na kufanya eneo lote la Jangwa Kuonekama Kama Ziwa.Picha Hizi za Moja kwa Moja Kutoka Jangwani Zimepigwa na Mdau Bilal Ahmed

![]() |
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() Mto Msimbazi ulikopita na kuharibu Miundombinu. |

![]() |
Jangwani nako Balaa! |
No comments:
Post a Comment