MDA WA RISARA KWA MKUU WA MAJESHI
BAADHI YA WANABUKOBA WALIOKUSANYIKA KUUPOKEA MWENGE WA UHURUWATOA BURUDANI (KAKAU BAND KUTOKA BUKOBA MJINI)
Mwenge huo uliopokelewa na uongozi wa wilaya Bukoba kwa heshima kubwa pamoja na tadhima umeonekana kuleta kufuraha na faraja kwa wenyeji wa maeneo ya Kashai kwani walio wengi wameweka birasha yao kama ilivyotangazwa na mkurugenzi wa manispaa ya bukoba.
Tutaendelea kukujuza hivi punde....................www.fourwaysbukoba.blogspot.com
No comments:
Post a Comment