Monday, May 7, 2012

HESHIMA HESHIMA HESHIMA....................

Ni kijana kwenye mapenzi na chama cha DEMOKRASIA NA MAENDELE anajulikana kwa jina la Heshima mjini Bukoba.

Akiwa katika miangaiko yake ya kutafuta riziki kamera yetu ilimnasa akiwa amefunga bebdera ya chama hicho huku akiwa na furaha hisiyo na kifani mara baada ya kusikia ushindi wa Mh.Tundu Lisu

No comments: