Monday, May 21, 2012

JE UNAJUA JINSI YA KUFUNGA MISOSI NA KILAJI WAKATI KWA KUZILIMA/KUGEMULA


Dogo alipoletewa yeye alichagua mkungu wa banana tu.
Kwa kujitahidi ikabidi auamishe mpaka anapopajua yeye kuwa pana usalama
Masikini kula huku ni mgogoro mtupu mtoto amejikaza bwana
Mafanikio yameanza kuonekana sasa kwa siku takribani sita mtot amekomaa tu.
Hapa kazi kwekweli kwali kwani mkubwa hataki utani na mazoea na mtu
usinijue wala nisikujue mpaka hapo baadae na simu nazima

No comments: