Thursday, March 29, 2012

Honduras San Pedro Sula prison unrest and fire kill 13

Posted on 30 March 2012

Inmates remain on the roof of a prison as others try to put out a fire at the facility in San Pedro Sula  
The prisoners attempted to put the fire out themselves

Related Stories

At least 13 people have died in unrest at a prison in Honduras, officials say.
They said inmates began fighting among themselves at the San Pedro Sula prison, in the north of the country, and that a fire had then broken out.
Police commissioner Yair Mesa said the riot had been brought under control, the Associated Press news agency says.
Last month, at least 360 inmates died in a fire at Comayagua prison north of the capital. Officials said it may have been caused by a discarded cigarette.
During the latest riot, one prisoner was decapitated and his head thrown in front of the prison entrance, according to local media reports.
"The uprising has been put down without the need to fire shots," Mr Mesa said from inside the prison.
The prisoners themselves appeared to have fought the fire inside the facility, city fire service chief Jose Danilo Flores told AP.
map
The inmates had prevented firefighters from entering earlier in the day, he added.
Security Minister Pompeyo Bonilla said the fire at the facility had "once again highlighted the critical situation" in the country's prisons, Agence France Presse reports.
Prisons in Honduras hold some 13,000 inmates in a system designed for 8,000.
The government has promised to reform the country's prison system but the task ahead of them is huge, reports the BBC's Central America correspondent Will Grant.
The problems facing the prison system include chronic overcrowding, opposing street gangs being housed side-by-side, rampant corruption and crumbling infrastructure in jail buildings, he says.

 ZITO KABWE NA URAIA
 Posted by FOUR WAYS BUKOBA on 30.Marc 2012
MAKALA yangu katika gazeti hili toleo la Novemba 2, mwaka jana ilihusu nafasi za vyama vya siasa huko nyumbani, katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Katika makala hiyo nilichambua changamoto zinazoikabili CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, nikagusia nafasi na vikwazo dhidi ya CHADEMA na CUF ambavyo kimsingi, angalau vina nafasi (hata kama haba) ya kutoa upinzani kwa CCM, na hata kuing’oa madarakani.
Nilihitimisha makala hiyo iliyobeba kichwa ‘CCM dhaifu mtaji imara wa urais CHADEMA, CUF’ kwa ahadi ya kuendeleza uchambuzi huo. Leo nitaitupia jicho CHADEMA.
CHADEMA imekuwa ikipanda chati kwa kasi kiasi cha kuweza kubashiriwa kushika hatamu za uongozi baada ya Uchaguzi Mkuu, 2015.
Lakini, uwezekano wa CHADEMA kuingia Ikulu unategemea mazingira ya ndani na nje ya chama hicho. Tuanze na mazingira ya nje, ambayo pengine ni magumu zaidi si kwa CHADEMA pekee bali chama kingine chochote kile cha upinzani kumudu kuing’oa CCM madarakani.
Ukichambua kwa undani mageuzi ya kisiasa huko nyumbani utabaini bado tuna safari ndefu ya kimfumo na kisaikolojia.
Pamoja na uwepo wa vyama kadhaa vya siasa, mazingira ya kisiasa bado yanashabihiana kwa kiasi kikubwa na yale ya mfumo wa chama kimoja. Na tatizo hili limejikita zaidi kwenye vyombo vya dola. Kama kuna eneo moja ambalo mageuzi ya kisiasa yameshindwa kulibadili ni suala la kuvitenganisha vyombo hivyo na siasa.
Jeshi la Polisi limeendelea kuwa mithili ya kitengo cha usalama cha CCM. Tatizo sugu zaidi katika jeshi hilo linachangiwa na maslahi binafsi ya baadhi ya viongozi wake. Na tatizo hilo halipo Tanzania pekee bali ni mbinu inayopendelewa na watawala wengi wenye dhamira ya kuhodhi madaraka, kukandamiza demokrasia na kujitengenezea kinga dhidi ya maovu yao.
Sasa kwa vile utendaji kazi katika vyombo vya dola unaongozwa na kanuni ya ‘kidikteta’ ya kutekeleza amri bila kuhoji, mtawala akimteua shemeji yake kuongoza taasisi kama Jeshi la Polisi, ni wazi chombo hicho kitafanya kazi bila weledi wa kutosha.
Na japo wahusika watang’aka kwa nguvu zote, Idara yetu ya Usalama wa Taifa imeendelea kuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya CCM kwenye chaguzi na hakuna uwezekano kwa chama kukamata uongozi wa nchi iwapo idara ya usalama ya nchi husika ‘haitaki’ (iwe kwa sababu za msingi au za kipuuzi).
Kwa vile utendaji kazi wao ni wa siri, chama kinachohujumiwa huishia kushangaa tu jinsi ‘kura zilivyoyeyuka’ pasipo kuwa na ushahidi wa jinsi hujuma husika ilivyofanyika.
Kwa hiyo-na hapa nisiume maneno- ili CHADEMA iweze kutimiza ndoto zake za kuingia Ikulu ni lazima mashushushu wetu waafiki iwe hivyo. Habari njema kidogo kwa chama hicho ni kwamba sio kwamba haiwezekani kabisa kwa Idara ya Usalama wa Taifa kuamua ‘sanduku la kura liamue mshindi halali wa uchaguzi.’
Tofauti na taasisi nyingine za dola, Idara hiyo haiendeshwi kama jeshi kamili bali ni nusu-jeshi (paramilitary). Hii inaweza kutoa mwanya kwa baadhi ya watendaji wa taasisi kama hiyo ‘kupambana’ na ile kanuni inayowabana polisi ya ‘kutekeleza amri bila kuhoji.’
Katika mazingira ya kinadharia, kama ikionekana ni wazi mwelekeo wa CCM ni tishio kwa usalama wa taifa, baadhi ya wazalendo ndani ya Idara hiyo wanaweza kuhakikisha si tu wanahujumu matakwa ya viongozi wanaotaka kuibeba CCM bali pia wanatumia ‘nguvu za giza kwenye chaguzi’ kukisaidia chama cha upinzani.
Kisaikolojia, vyama vya upinzani vinakabiliwa na vikwazo vikuu vitatu. Kwanza, uoga wa ‘Tanzania haiwezekani bila CCM’ na pili ni hofu ya ‘yale yale tuliyoshuhudia yakitokea Kenya,’ yaani machafuko. Sababu zote hizi ni mtaji mkubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi.
Kikwazo cha tatu cha kisaikolojia ni hofu ya ‘je watu hawa ambao kimsingi asili yao ni CCM hiyo hiyo wanayotaka kuing’oa hawawezi kweli kugeuka wakipata madaraka na kuwa sawa au wabaya zaidi ya CCM?’
Ahueni kwa CHADEMA ni kwamba, kama mwelekeo wa wake utaendelea kuleta matumaini kwa Watanzania, na wakati huo huo CCM inazidi kugeuka uwanja wa mapambano ya wenyewe kwa wenyewe, basi wapiga kura wanaweza kuamua kuongozwa na chama tofauti.
Kwa bahati mbaya (au makusudi)-na haya ni mazingira ya ndani ya CHADEMA- tayari zimeanza dalili za mgogoro wa kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais.
Wiki iliyopita, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia chama hicho, Zitto Kabwe, alitangaza kuwa kuutamani urais. Pengine hoja nzito kabisa katika waraka huo uliobeba kichwa cha habari ‘Ndio, nataka kuwa Rais’ ni kauli ya Zitto kuwa (namnukuu); "Sasa kama wananchi watasema huyu Zitto anapaswa kubeba jukumu hili mwaka 2015 tuache iwe. Kama watasema hapana wewe bado mpaka mwaka 2020 au hata 2025 tuache iwe hivyo. Pia Kama hawataki kabisa tuache iwe hivyo.
Naomba ieleweke kuwa Zitto ana haki si tu kutaka urais, bali pia kutangaza dhamira hiyo katika wakati anaotaka. Lakini kimantiki, kama ambavyo mwanasiasa huyo alivyowahi kulishutumu gazeti moja kwa kuzungumzia ilichokiita ‘zimwi la urais CHADEMA’ wakati inaomboleza kifo cha mbunge wa chama hicho, Regia Mtema, ndivyo inavyoshangaza kwa Zitto kutangaza nia ya urais ilhali chama chake kikiwa katika mapambano makali dhidi ya CCM, Arumeru Mashariki
Japo msiba wa Regia hauwezi kulinganishwa na kampeni hizo za uchaguzi, lakini matarajio ya wengi ni kuona viongozi wote wa chama hicho wakielekeza nguvu zao Arumeru Mashariki ili kushinda kiti cha ubunge. Hoja ya msingi hapa si kauli ya Zitto bali timing yake.
Na japo hakuna dalili kuwa mwanasiasa huyo machachari ‘amesusia’ kampeni za Arumeru Mashariki, uamuzi wake wa wa kutangaza nia ya urais kwa wakati huu sio tu unazua mkanganyiko usiohitajika, lakini pia unaathiri nafasi ya chama hicho kufanya vizuri mwaka 2015, hasa ikizingatiwa kuwa amana kubwa ya chama hicho bado ipo kwa Dk. Willbrod Slaa.
Naishauri CHADEMA kuwekeza nguvu kukabili vikwazo vizito vya nje ya chama hicho, badala ya kuanza ndoto za nani awe mgombea.
Wakati kila mwanachama wa CHADEMA ana haki ya kutaka nafasi yoyote ile ikiwa pamoja na urais, ni muhimu kwa chama hicho kutambua kuwa, baadhi ya Watanzania wanakiangalia kwa umakini iwapo si tu kinaweza kuwa mbadala wa CCM bali kumudu kuwakwamua kutoka lindi la ufisadi, umasikini na kudumaa kwa maendeleo.
Na kama alivyoandika Zitto, sauti ya Watanzania-wana CHADEMA na wasio wanachama wa chama hicho- iwe kigezo muhimu cha kuamua nani apewe dhamana ya kuwa mgombea wake hapo 2015 kwa kuzingatia muda mwafaka, kukubalika kwake kwa umma na uadilifu wake binafsi.
30 March 2012 Last updated at 04:15 GMT
Share this page  
Email

Spanish government to unveil 'very austere' budget

Demonstrators crowd Cibeles Square during a general strike on March 29, 2012 in Madrid, Spain. 
 Massive crowds took to the streets of Spanish cities on Thursday to protest labour reforms

Continue reading the main story

Related Stories

The Spanish government is due to unveil what is expected to be one of the toughest budgets in its recent history.
Newly-elected Prime Minister Mariano Rajoy has already warned the budget will be "very austere".
The global financial markets are increasingly concerned that Spain's debts are becoming unmanageable.
On Thursday, Spanish police clashed with protesters after a general strike was held to protest against labour reforms designed to cut unemployment.
Road, rail and air transport were all affected, with domestic and European flights cut to a fraction of their normal levels.
Bailout fears
Spain, which is suffering from the highest levels of unemployment in Europe, is under intense pressure from eurozone leaders to reduce its deficit.
Correspondents say there is concern that if the situation does not improve, Spain might eventually need a bailout.
The BBC's Gavin Hewitt in Brussels says the cuts are expected to be around 35bn euros ($46.5bn; £29bn), and that health and education funding are unlikely to escape.
Budget Minister Cristobal Montoro said it would be the most austere budget since Spain became a democracy.
"It needs a budgetary effort that up to now we have probably never made in our country."
On Thursday, police clashed with demonstrators as hundreds of thousands swamped streets in Barcelona and other cities.
Unions said 800,000 people joined the protest in Barcelona. Police put the number at 80,000.
Some marchers in the city smashed windows and set rubbish bins alight. Police fired tear gas and shot rubber bullets at the ground, TV pictures showed.
In the capital, Madrid, unions said around 900,000 people took part. The government did not give a figure.
'Not yielding'
Our correspondent says the size of the demonstrations on Thursday were an indication that many are losing patience with austerity.
Unemployment in Spain is currently the highest in the EU at 24%. Nearly half of Spain's under 25s are out of work.
The general strike was the government's first big challenge since Mariano Rajoy took office after elections last November.
Despite the opposition, the government says it is committed to reining in its spending.
"The question here is not whether the strike is honoured by many or few, but rather whether we get out of the crisis," Mr Montoro said.
"That is what is at stake, and the government is not going to yield."
The budget comes on the same day that eurozone finance ministers meet in Copenhagen to discuss the bloc's bailout fund, designed to protect itself against individual members being unable to repay their debts.
However, analysts say long-standing differences between some members, in particular France and Germany, mean there is no guarantee an agreement will reached.

 

  FUMANIZI KIBOKO

Ama kweli mke au mume wa mtu ni sumu! Wapenzi ambao majina yao hayakupatikana mara moja wanadaiwa kufumaniwa gesti kisha kukiona cha moto, Risasi Mchanganyiko lina kisa cha kusikitisha.



Location

HABARI MEZANI
Usiku wa Jumapili ya Machi 25, mwaka huu, blogs ilipokea simu kutoka kwa chanzo chake ambacho kilitonya kuwa kuna fumanizi limetokea gesti maeneo ya Kinondoni Shamba, Dar.
Pamoja na picha za ushahidi, chanzo hicho kilidai kuwa, wawili hao walifika kwenye gesti hiyo yenye baa maarufu kwa nje na kuanza kutandika ulabu kabla ya kukubaliana kuchukua chumba na kuzama ndani kubanjuka.
 
MWANAMKE ATOKA AKIVUJA DAMU
Chanzo hicho kilidai kuwa zilipita saa kadhaa huku kukiwa na utulivu, lakini ghafla mwanamke alitoka akivuja damu ambapo alisikika akisema kuwa anawahi polisi.
Ilidaiwa kuwa katika hali ya kutisha, mwanamke huyo alikuwa amepasuliwa na chupa kifuani kwenye titi la kulia na mkononi hivyo alikuwa akivuja damu nyingi kiasi cha watu kumkimbia.

DAMU YATAPAKAA CHUMBANI
Chanzo kiliendelea kudai kuwa, wahudumu na watu waliomshuhudia mwanamke huyo walikimbilia kwenye chumba alichokuwa ambapo walikuta sakafu na kitanda vimetapaa damu huku mwanaume akiwa uvunguni.

MWANAUME AKIONA CHA MOTO
Ilidaiwa kuwa baadhi ya watu waliokutana na yule mwanamke akiwa amelowa damu, walimwangushia kipigo yule mwanaume.
“Katika kujitetea kwa wananchi wenye hasira kali, yule jamaa alisema siyo yeye ila kuna mwanaume mwingine aliyemvamia chumbani akaanza kumuadhibu mwanamke akidai ni mke wake,” kilisema chanzo chetu na kuongeza:
“Alibanwa maswali hasa suala la mlango kwani ulionekana haukuvunjwa, akasema hawakuufunga.”
 Ilisemekana kuwa raia hawakumwelewa kwa sababu tofauti na yule mwanamke hakuna mtu aliyekuwa ametoka mle ndani hivyo akapewa kisago ambapo alifanikiwa kuchomoka na kukimbilia kusipojulikana.
Baada ya kuinyaka habari hiyo, Jumatatu wiki hii, gazeti hili lilikwenda katika Kituo cha Polisi Oysterbay ili kujua kama kuna jalada la kesi hiyo ambapo lilijibiwa kuwa hakuna na hata kama ingekuwa kwenye vituo vidogo lazima ingefikishwa mahali hapo.

No comments: