Dayosisi ya Zanzibar yapata Askofu Mpya
Askofu Mkuu wa Dayosisi Tanzania Dr.Valentino
Mokiwa,(kulia)akimtambulisha kwa waumini Askofu wa Kumi wa Dayosisi ya
Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kumalizika ibada maalum
ya kumuweka Wakfu,katika Kanisa Kuu la Mkunazini leo.[Picha na
Ramadhan Othman IKulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake alipokuwa mgeni rasmi katika
kafla ya ibada ya kuwekwa Wakfu Padre Michael Henry Hafidh, kuwa
Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar leo,katika hafla iliyofanyika Kanisa
Kuu la Mkunazini Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake alipokuwa mgeni rasmi katika
kafla ya ibada ya kuwekwa Wakfu Padre Michael Henry Hafidh, kuwa
Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar leo,katika hafla iliyofanyika Kanisa
Kuu la Mkunazini Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Askofu Mkuu wa Dayosisi Tanzania Dr.Valentino
Mokiwa,(mbele) akiongoza maaskofu katika sherehe za kumuweka Wakfu
Padre Michael Henry Hafidh,kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar
Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Zanzibar jleo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Baadhi ya waumini wa Dini ya kristo Kanisa la
Mkunazini Zanzibar,wakiwa katika sherehe ya kuwekwa wakfu Padre
Michael Henry Hafidh,kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya
Zanzibar,sherehe hizo zilifanyika leo katika Kanisa Kuu la Mkunazini
Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya
Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi
hiyo leo,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya
Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi
hiyo leo,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) Rais Mstaafu wa Tanzania
Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa,Askofu Mkuu wa Dayosisi
Tanzania Dr.Valentino Mokiwa (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja
na Maaskofu mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya ibada ya
kumuweka kuwa Wakfu Padre Michael Henry Hafidh,(wa tatu kushoto) kuwa
Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar katika Kanisa Kuu la Mkunazini
Mjini Zanzibar leo,(wa pili kushoto) Mke wa Askofu wa Dayosisi ya
Zanzibar Merry Michael .[Picha na Ramadhan OthmanIkulu.]

No comments:
Post a Comment