Mabadiliko pekee kwenye Listi ya FIFA ya Ubora Duniani ni Argentina kupanda nafasi moja na kukamata nafasi ya 9 lakini Nambari Wani bado ni Mabingwa wa Ulaya na Dunia, Spain, wakifuatiwa na Germany, Uruguay, Netherlands, Portugal, Brazil na England.
Tanzania imeshikilia nafasi yake ile ile ya tangu Mwezi uliopita, nafasi ya 145.
Nchi kutoka Afrika ambayo iko juu kabisa ni Ivory Coast ambayo inashika nafasi ya 15.
Listi inayofuata itatotelewa hapo Juni 6.
20 BORA:
1 Spain
2 Germany
3 Uruguay
4 Netherlands
5 Portugal
6 Brazil
7 England
8 Croatia
9 Argentina
10 Denmark
11 Russia
12 Italy
13 Chile
14 Greece
15 Côte d'Ivoire
16 France
17 Sweden
18 Republic of Ireland
18 Switzerland
20 Mexico
No comments:
Post a Comment