Saturday, November 10, 2012

TBL Yaibuka Kinara Wa Ulipaji Kodi Tanzania.


 Waziri wa Fedha, Dk.William Mngimwa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Mawasiliano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo, cheti cha kutambua ushindi huo.


 Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal  (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mlipakodi bora wa kwanza katika sekta ya uzalishaji viwandani, Mkurugenzi Mawasiliano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Steven Kilindo kwenye hafla ya sita ya Siku ya Mlipa Kodi, Dar es Salaam
  Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dk Bilali na viongozi wengine


  Steve Kilindo akiondoka jukwaa kuu akiwa na tuzo za kampuni yake
 Steve Kilindo akiwa pamoja na wadau wenzie

                        Picha zote na Richard Mwaikenda

No comments: