Tuesday, May 8, 2012

Miss And Mr IFM

BETTER DAYZ ENTERTAINMENT NA MARAFIKI WA KWELI LTD , wanakuletea REDDS MISS IFM 2012  Pamoja na shindano la MR IFM 2012  ambayo yote kwa pamoja yataefanyika katika ufukwe wa CINE CLUB Mokocheni kwa WARIOBA Tarehe 12/05/2012 . Msanii Bingwa wa Mwaka, DIAMOND PLATNUM atasimama kwenye stage na Kuporomosha show ya Mwaka pamoja na Mabinti hawa. Ni tukio la Mwaka na pia ndio tukio Pekee ambalo tutamshuhudia Diamond Platnum akiwarusha Mamiss na Nyimbo zake Kibao.. Njoo Bila Kukosa kwa Kiingilio Cha TSHS 15,000/= (Wanafunzi wa IFM ) na TSHS 20,000/= (kwa Wasio wanafunzi). Karibuni Sana. Pia MC MPOKIIII  atatuvunja Mbavu.

No comments: