Hapa wakimsalimia MKe wa Mbunge wa Rombo Joseph Selasini Digna Kavishe ambaye yupo hali yake siyo nzuri.
Mke wa Joseph SElasini Digna Kavishe akiwa anaendelea kupatiwa matibabu kwenye hospitali ya KCMC ambapo hata hivyo hali yake siyo nzuri sana.
FOUR WAYS INTERNET & STATIONERY WANASHUGHULIKA NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE NA MAHITAJI MENGINE YA MAOFISINI IKIWA NI PAMOJA NA HUDUMA YA INTERNET MASAA 17 KWA SIKU INAFUNGULIWA SAA 7:00 HADI SAA 10:00 USIKU K A R I B U S A N A
No comments:
Post a Comment