John Mnyika(Chadema) akiwa amebebwa na mashabiki wake baada ya kushinda kesi ya kupinga Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)Taifa Freeman Mbowe akiteta na Wanahabari baada ya hukumu nje ya viwanja vya Mahakama Kuu Dar es salaamu
Baada ya hukumu Polisi jamii nayo ilichukua nafasi yake,hawa wameamua kuvua GAMBA na kuvaa GWANDA
1)Kwamba Mnyika alimtuhumu mlalamikaji kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA katika chumba cha kuhesabia kura
4)Kuwepo kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)
Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)Taifa Freeman Mbowe akiteta na Wanahabari baada ya hukumu nje ya viwanja vya Mahakama Kuu Dar es salaamu
Baada ya hukumu Polisi jamii nayo ilichukua nafasi yake,hawa wameamua kuvua GAMBA na kuvaa GWANDA
Mlalamikaji wa matokeo ya Ubunge wa Ubungo Hawa Ng'umbi akisalimiana na baadhi ya wapenzi na mashabiki wa chama chake cha(CCM)na kumpa pole ya kushindwa kesi |
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika. |
Hawa Nghumbi (CCM)
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :1)Kwamba Mnyika alimtuhumu mlalamikaji kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA katika chumba cha kuhesabia kura
4)Kuwepo kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)
Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.
No comments:
Post a Comment